alimuambia Mackenzie ni “mtumishi wa kweli wa Mungu” na akamshawishi wauze mali zao zote na kuhamia Shakahola wakiamini watakuwa matajiri
-
GENERAL NEWS
“Aliniahidi Helikopta”: Mashahidi Wafichua Mambo Mapya Katika Kesi ya Pastor Mackenzie
Mashahidi wameendelea kufichua siri mpya katika Mahakama Kuu ya Mombasa kuhusu kesi ya mauaji inayomkabili mchungaji Paul Mackenzie na washirika…
Read More »